Nyumba inauzwa ipo Kibamba-Kibwegere km 5 kufika barabara kubwa.Ukubwa wa eneo 1364SqMt ,ina vyumba 4 vyote self na wiwili vya wageni single,ipo ndani ya ukuta na ina eneo la kutosha ni nyumba ya kisasa,Price mil 80.
Please Add a first listing