Nyumba Hii kubwa Sana ya Ghorofa mbili,yenye hadhi inauzwa.
Ina mjengo wa kisasa kabisa bado finishing ndogo ndogo tu.
Hipo Kibamba Chama,njia ya kwenda Mloganzira,kutoka Morogoro road ni mita 50 tu.
Lina vyumba 8,vyote Master,Public Toilet 3,Store 3,sitting room 3,dinning 3,majiko makubwa matatu pia.
Ina Servant Quarter,Kisima cha Maji kikubwa Sana.
Ukubwa wa eneo ni Square Meter 3500.
Inataka Million 450.
Maongezi yapo.