Nyumba inauzwa nyumba ipo kifulu kwa Unju manispaa ya ilala nyumba ni ya vyumba v3 master mbili nyumba Ina sebule jiko daining public nje ipo publc nyingine eneo sqmt 400 nyumba kalii sana umbali km 1 kutoka barabara ya kinyerezi na km 4 kutoka Mbezi kwa Msuguli nyumba Ina mawe tayali bado hati karibu mteja bei 100m