Nyumba kalisana kubwa yakifamilia inauzwa kigamboni kibugumo inauzwa milioni 85 maongezi yapo nyumba yavyumba 3 masta 1 sebule dainingi jiko pabiliki toleti ukubwa Wakiwanja SQM 700 ATI mauziano yaserekali zamta garama zakupelekwa saiti 30 karibu sana ukaguwe nyumba ipo mta mzurisana nikaribu nalami dakika 5 kwamigu kutoka lami karibuni sana kunampangaji apo analipa Kodi lakitano kwamwezi