NYUMBA SAFI KABISA YA KISASA INAUZWA KIGAMBONI
-LOCATION UNGINDONI KARIBU NA BARABARA KUBWA YA LAMI.
-AREA : SQM 430.
-PRICE : MIL 120. MAONGEZI YAPO.
-UMILIKI : HATI (CLEAN TITLE)
SIFA ZA NYUMBA
-3 BEDROOMS SELF.
-DINNING
-SITTING ROOM
-STUDYING ROOM.
NDANI YA FENCE.
HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 20,000/-