Nyumba inauzwa ipo kigambon mjiwema kibungumo Nyumba ya vyumba 3 vyakulala stingiroom dining room kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml 120 nyumba ina ukumbwa wakiwanja sqmt 500 nyumba umeme upo maji yapo kisima cha maji Nyumba Hati yake ya mauziano ya office upimaji shilikishi Usha fanyika kila nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita300 tuu