NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DEGE UPANDE WA BAHARINI
HAIKO MBALI NA BAHARI
KILOMITER 18 TOKA FERRY
IPO HIVI-AMEJENGA KAMA HOSTEL MAANA JIRANI KUNA SHULE KUBWA.JUU VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYOTE SELF HAKUNA SEBULE MA CHINI HIVYO HIVYO
NA JENGO LA PEMBENI LINALOJENGWA NALO NI GOROFA ILA ALIKUA HAJAMWAGA SLAB NA VYUMBA 3 VIKUBWA VYOTE SELF. IKO NDANI YA FENS SQM 1000
JUU AMESHAPIGA ALUMINUM GLAS BADO CHINI.
TIRES BADO
KWASASA ANATAKA ML 180