Hii pia Bado Ninayo ipo Kigamboni Geza kilomita 1½ toka lami
__
Vyumba vitatu vya kulala Viwili kati yake ni self contained, sebule, dining, jik, publictoilet, Tiles, Slidewindows
_
BEI MIL 90 TZS
_
Ukubwa wa kiwanja SQMT 600
Kiwanja kimepimwa kina hati ya wizara