Hii ipo kigamboni geza ulole ina uzwa tsh mil 110
Eneo kubwa sqm 1200
Kume pimwa na kuna hatty miliki title deed
Vyumba vitano vya kulala vyumba vyote ni master bedroom
Ina sitting room na daining room na jiko na store
Ina full public toilet pamoja na maji na umeme
Eneo zuri sana nyumba ni mpya kabisa ime jengwa vzuri sana
Bonge la jumba
Kutoka bara bara kuu ya Rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 10