Nyumba inauzwa Kigamboni-Kibada
Distance Umbali kutoka Barabara kuu ni 1KM- Kutoka Ferry Kigamboni mpaka Kiwanjani ni KM 10
Location Kigamboni -Kibada-Uvumba karibu na Shule ya Mizimbini Sekondari
-Eneo lina nyumba ya chumba kimoja master, sebule na jiko.
-Eneo lina msingi wa nyumba ya vyumba vinne na ramani yake ipo
-Eneo lina godowns ndogo ndani mbili.
Eneo limezungushiwa fence ya ukuta na geti
-Plot size Sqmt 1000
-Clean title deed (Hati safi)
Bei ni shilingi milioni 170 maongezi yapo