Nyumba inauzwa kigamboni kibugumo ina vyumba vitatu viwili ni masta sitting room dining kitchen na store kiwanja kina ukubwa wa 1,700sqmt inauzwa milioni 160 Ina documents za mauziano ya serikali ya mtaa
Please Add a first listing