NYUMBA INAUZWA (BINAFSI) IPO KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMO . NI NYUMBA YA SITA TOKA BARABARA KUU YA LAMI YA FERI KIVUKONI
LOC : MJI MWEMA KIBUGUMO
AREA : SQM 400
PRICE : MIL 150.
UMILIKI : HATI YA SERIKALI ZA MITAA
________NYUMBA NI YA KISASA KABISA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA VYOTE NI MASTER BEDROOM INA JIKO DINA NA SEETING ROOM KUBWA NA STOO KILA CHUMBA KINA AC NA MAJI YA MOTO. NYUMBA INA KISIMA CHA MAJI NA UMEME
______________________
HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO…. .
.
HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 20