Nyumba inauzwa ipo kigambon toangoma nyumba ya vyumba 3 vya kulala dining room siting room stoo kitchen master bedroom public toilet nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 600 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa bei ml 57 nyumba mpya nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km 1,5 mpaka katika nyumba