Nyumba inauzwa ipo Kigambon toangoma Mtengu Nyumba ya vyumba 3 vyakulala siting room daining room kitchen public toilet master bedroom stoo nyumba bei ml 110 maongezi yapo kidogo nyumba mpya kabisa nyumba ina uwanja wakutosha ukubwa wa kiwanja sqmt 800 nyumba ina kisima cha maji nyumba ipo pazuli sana