Nyumba inauzwa ipo Kigambon Toangoma Mtengu Nyumba ya 4 vyakulala sitting room dining room kitchen toilet public master bedroom store nyumba bei ml 185 nyumba ina hati miliki Kabisa ya wizara nyumba ina uwanja wakutosho ukubwa wa kiwanja ni sqmt 1000