Nyumba inauzwa ipo Kigambon Toangoma Nyumba ya vyumba 3 vya kulala siting room dining room kitchen toilet public washroom master bedroom store nyumba inauza bei 150m nyumba umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati miliki Kabisa ya wizara nyumba ina uwanja wa kutosho ukubwa wa kiwanja 800sqmt nyumba ipo kalibu na Barabara kuu kabisa nyumba ni nzuli sana.