Nyumba inauzwa ipo Kigambon toangoma Fancty Nyumba ya vyumba 3 vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml 87 tu nyumba mpya kabisa nyumba inauwanja wakutosho ukumbwa wakiwanja sqmt 700 nyumba umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati yake ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi Usha fanyika kila nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa