BEI💰 90 Milioni
-ina vyumba vitatu kimoja master na vyote vina feni juu na sehem ya kuweka kabati la nguo
-dinning
-jiko kubwa
-sebule
-choo cha ndani na nje(hiki cha nje bado hakijaisha)
-gypsum
-tiles kote kasoro vyumbani tu
-nje kuna vyumba viwili kimoja master(vimeishia kwenye linter)
-nyuma ina eneo kubwa unaeza ukaongeza vyumba
-gari linaingia
-sio mbali kutoka barabarani(panafikika kwa kutembea)
-njia ya gari kutoka barabarani
-haina ufa hata wa bahati mbaya ilisukiwa nondo za kutosha(sio jenga uza)
-bati halina kutu
-kila kitu kipo sawa
Contact☎️: 0713245449
Email ✉️:isihakim196@gmail.com