NYUMBA INAUZWA MAHALI ILIPO DARESALAATZ ENEO KILUVYA GOGONI UMBALI WA KM 2
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOMS KUBWA JIKO ZURI INA VYOO NA BAFU VYA FAMILIA NDANI INA TAILS GYPSUMS ALUMINUM WINDOWS LUKU MAJI YA DAWASA YAPO NDANI IPO NDANI YA UKUTA
BEI INAUZWA TSHS MIL 65:
MAONGEZI YAPO PIA
UKUBWA WA KIWANJA SQMITER 600:
DOCOMENT SALES AGREEMENTS
PAMESHAPIMWA TAYARI PANA BICONI TAYARI