HII NYUMBA INAUZWA NA INA ENEO KUBWA SANA
MTU ANAWEZA KUBADISHA MATUMIZI AKAJENGA APARTMENT ZA KUPANGISHA AU AKAJENGA GEST AU AKAJENGA HOTEL YOTE SAWA
UKUBWA WA ENEO NI MITA 50 KWA 40
BEI NI MILION 130 NA MAZUNGUMZO YAPO VIZURI
IPO KIMARA KOROGWE KM 1,5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE BARA BARA NI YA LAMI USAFIRI WA AINA YOYOTE UNAFIKA NYUMBAN VIZUR