HII NYUMBA INAUZWA NYUMBA NZURI SANA
VYUMBA VINNE VYA KULALA CHUMBA KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DAINING TABLE JIKO KUBWA SANA LENYE KABATI PUBLICK TOILET
FULL TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI YA DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
UKUBWA WA KIWANJA 35/40
HATI IPO
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5
BEI MILIONI 120 MAONGEZI YAPO KIDOGO