HOUSE FOR SALE
NYUMBA INAUZWA
MAHALI ILIPO DARESALAATZ
ENEO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
UMBALI WA KM 2
USAFIRI WA KUSHEA BAJAJI TAX 700
YENYE
VYUMBA V4 VYA KULALA V2 NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOMS KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI CABINET INA VYOO NA BAFU VYA FAMILIA NDANI INA SEVANTICOTER YA CHUMBA NA CHOO NA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI VYUMBA VYOTE VINAMAKANATI
BEI INAUZWA TSHS MIL 140:
UKUBWA WA KIWANJA SQMITER 630
DOCOMENT SALES AGREEMENTS
PAMELASIMISHWA BADO HATI TU KUTOKA