NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO KIMARA MWISHO
NYUMBA NI YA VYUMBA V2 SEBULE JIKO VYUMBA VYOTE NI MASTER NA PUBLIC
ENEO SQM 800
BEI MIL 35
MAONGEZI YAPO
UMBALI TOKA MORO ROAD NI KM 2
NI HII BARABARA YA KUEREKEA BONYOKWA
KITUO KWA MREMA
NYUMBA IPO MTAA MZULI SANA WENYE NYUMBA ZILIZO JENGEKA KIMAZUBUTI
KARIBU