Nyumba inauzwa nyumba ipo kimara suka km 1 toka stendi Moro road vyumba ni ya vyumba v4 Kati ya hivyo chumba kimoja ni master bedroom pia ipo boycoter ya chumba na sebule na choo yake zipo mala mbili na publc za njee eneo sqm 800 hati mauziano selikali ya mtaa bei ni mil 60 karibu