NYUMBA KUBWA YA KISASA INAUZWA MILION SITINI NA TANO (65,000,000/=)
NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA NIMEIPUNGUZA BEI HADI KUFIKIA MILIONI SITINI NA TANO
💥 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
📌📌UKUBWA WA ENEO NI 25/30 METERS
#ENEO LIMELASIMISHWA
#DOCUMENT NI DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
BEI NI MILION 65
🏠 NYUMBA HII YA KISASA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KM UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
📌📌 NYUMBA HII INA MPANGAJI NA ANALIPA KODI YA SHILINGI 500K KWA MWEZI YAANI LAKI 5 KWA MWEZI
NDUGU MTEJA CHANGAMKIA FURSA HII HARAKA PUNGUZO LA BEI NIMEIPUNGUZA BEI HADI MILIONI SITINI NA TANO
NOTE: NYUMBA HII HAINA MGOGORO WOWOTE NYUMBA IPO SALAMA MWENYE NYUMBA ANAUZA ILI AWEZE KUJIENDELEZA ZAIDI KIMAISHA