Nyumba Inauzwa nyumba ni anderground ina vyumba v5 sebule jiko Master badroom zipo mbili eneo sqm 750 nyumba Ina title deed bei mil 150 maongezi kidogo nyumba ipo mtaa mkali kinyerezi kifulu nyumba ipo karibu Sana na barabara ya lami ya kuelekea kinyerezi nyumba ipo mtaani fresh tu karibu