Nyumba inauzwa nyumba ipo Kinyerezi Kifulu
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko dining chumba master public toileteneo eneo lina ukubwa wa sqmt 350 bei mil 35
Nyumba ipo umbali wa dk 5 tu kwa mwendo wa mguu kiwanja chake kimepimwa hati bado
Karibu Kinyerezi Manispaa ya Ilala