Nyumba inauzwa na bank nyumba ipo kinyerezi mtaa wa kichangani karibu na selikali ya mtaa na jilani na mahakama nyumba ni ya vyumba v4 na sebule daining jiko chumba master public eneo 900sqmt nje vipo vyumba v3 vya kuishi pia hati mauziano selikali ya mtaa nyumba ipo umbali wa miter 150 tu toka lami karibu
Bei mil 75 maongezi yapo karibuni wote