Jumba kubwa sanaaaa na la kishuwa linauzwa
Nyumba ipo kitunda kivule manispaa ya ilala
Nyumba ni ya vyumba v4 kati ya hivyo vyumba v2 ni master
Nyumba ipo jilani sana na hospital ya wilaya
Gari Moja tu upo kariakoo au posts
Kutoka kwenye hii nyumba mpaka stendi dk 5 tu
Bei ni mil 25
Eneo sqm 400
Karibu