Nyumba Inauzwa ipo Ilala Kitunda Magore Mwisho ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dining table na sitting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako ukubwa wa eneo ni square mita 500 nyumba ina maji umeme kila kitu kwa maelezo zaidi tupigie simu
bei ml 65