Nyumba inauzwa Kunduchi Beach
-Nyumba ina vyumba 4 vya kulala, jiko, dinning room, sitting room na public toilet 3, nje Kuna jengo ambalo lina partition ilikuwa inatumika kama hospital 🏥.
-Nyumba kinatazamana na Kunduchi Beach Hotel (Wet ‘N’ Wild)
-Plot size Sqm 909
-Hati safi (tittle deed)
Bei milioni 450 maongezi yapo