NYUMBA INAUZWA MAHALI ILIPO DARESALAATZ ENEO MADALE USALAMA
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO INA VYOO VYA FAMILIA NDANI INA TAILS GYPSUMS ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA UKUTA ILA PAKING YAKE INAINGIZA GARI MOJA TU
BEI INAUZWA TSHS MIL 45
UKUBWA WA KIWANJA MITA 16×16
DOCOMENT SALES AGREEMENTS
PAMESHALASIMISHWA TAYARI