Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 120 maongezi yapo Nyumba ipo madale contena Nyumba ina vyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store pablic toilet ukubwa wa eneo ni SQMT 680 document clean TITLE DEED (Hati miliki) maji safi dawasco umeme vyote vipo barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote kiangazi na masika >mteja anaruhusiwa kukagua nyumba muda wowote