Nyumba Kali sana inauzwa,haiitajia marekebisho yoyote yale unaingia mazima.
Hipo Magomeni.
Ina pande mbili:
Kwanza ni Nyumba nzima ya vyumba vitatu,kimoja Master,jiko,public Toilet.
Upande wa pili;Vyumba vitatu Kama Boy Quarter zote Master,na jiko kubwa la Nje.
Ina Offer.
Ukubwa Square Metre 450.
Million 300.
Maongezi yapo