Nyumba hii inauzwa
Ipo magomeni mwembechai njia panda ya kagera mtaa wa oil com shel mtaa wa biashara sana.
Nyumba Ina frem 5 kubwa za biashara @300,000 kwa mwezi.
Nyuma kuna apartment ya vyumba 3 imepangishwa 500,000.
Na kuna nafasi yakujenga pande 2 za vyumba 3 -3 Tena.
Ina title did sqm 400.
Mwenyewe anashida ya pesa.
Mtaa huu nyumba Tena za kuvunja zinauzwaga Bei kubwa kwa anaeujua huu mtaa vizuri atanielewa.
Anauza ml 250.
Yuko tiyari kulipa Kodi ya serikali!!(Capital gen tax) na kishea na mnunuzi malipo ya agent.
5pacent yeye na mnunuzi nae atoe 5pacent!👆🏼🇹🇿👆🏼