NYUMBA INAUZWA MAGOMENI MAPIPA INATIZAMA KITUO KIKUBWA CHA MWENDOKASI CHA MIKUMI.
IKO PAZURI SANA KWA BIASHARA YOYOTE.
IKO KITUO CHA MIKUMI KAMA UNAELEKEA BUGURUNI.
MNELE INA MADUKA 6 NA YOTE YANA WAPANGAJI.
KWA NYUMA KUNA YARD AMEKODI MTU AMEFANYA GEREJI.
INA TITLE DID SQM 500 NA POINT.
MMILIKI AMEAMUA KUUZA MALI YAKE.
BEI ML 450 MAONGEZI YAPO.
MWENYEWE ANAPATIKANA MUDA WOWOTE.