TZS 270,000,000
/mo
Magomeni Mapipa, Morogoro Road, Idrisa, Mzimuni, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, P.O.BOX 22304, Tanzania

DAR ES SALAAM NI MAGOMENI MAPIPA TU !

Nyumba inayoangalia Morogoro Road Hii Hapa, Bado Inafanya Vizuri Sana Sokoni Hasa Kwa Watu Wa Showroom Za Magari, Wamiliki Wa Hotel & Apartments Za Ghorofa,
Before Tshs 350,000,000❌
Now Tshs 270,000,000/-✅

Mteja serious hii nyumba bado inauzwa bei ya kutupwa mnoooo!

Nyumba ipo Magomeni Mapipa inaangalia Round About ya kituo cha mwendokasi cha Magomeni Mapipa jirani sana na NEW BONDENI HOTEL na si mbali na iliyokuwa Shibam Hotel

Nyumba imepungua tena bei kutoka milioni 350 na sasa wanataka Tshs 270,000,000/-

 

Overview

Sale Price TZS 270,000,000
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now