NYUMBA INAUZWA IPO MAGOMENI MAPIPA UKITOKEA KKOO KUJA MAGOMENI NYUMBA IKO MKONO WA KULIA
– INA PANDE 3 KILA MOJA INA VYUMBA V2, SEBULE, JIKO NA CHOO
– NI CORNER PLOT INA ENEO KUBWA SQM 420
– INA HATI MILIKI NA LOCATION NZURI IMETULIA
– PANAFAA KUJENGA APARTMENTS, HOTEL, LODGE NK
– BEI TZS 295 MIL MAONGEZI YAPO KIDOGO.