Nyumba inauzwa Magomeni
Location Mitaa 100 kuingia lami ya Mzimuni(Magomeni Mikumi).
-Nyumba Ina pande mbili Upande mmoja Vyumba vitatu vya kulala Upande wa pili *Vyumba vitatu vya kulala,jiko, dinning, sitting na public toilet kwa zote.
Nyumba ina geti mbili za kujitegemea ni ya kuhamia tu
-Plot size Sqm 278
-Hati safi ipo
Bei shilingi milioni 270 maongezi