Nyumba inauzwa nyumba ipo Majohe Viwenge Manispaa ya Ilala nyumba ni kubwa na ya kisasa nyumba ipo mtaa mzuli bei mil 35 nyumba ni ya vyumba v4 Kati ya hivyo v2 masterbadroom eneo 22×22 ipo frem ya biashala kisima Cha maji stoo nyumba Ina mfumo wa umeme wa Sola ukinunua vyote unaachiwa hapo nyumba ipo jilani na stendi ya daladala karibu