NYUMBA KALLI SANA IPO MBAGALA CHAMANZI DOVYO JIJI LA DSM WILAYA YA TEMEKE JIMBO LA MBAGALA KATA YA CHAMANZ MTAA WA DOVYA
MWENYEWE KAVULUGWA SANA ANA ITUPA IYO NYUMBA KWA BEI RAISI MNO TSH MIL 39 TU
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM NA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME
ENEO SQUARE 360
INA FULL FENCE GARI NDOGO 2 ZINA INGIA NDANI PIA INA FULL DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
USIKUBALI KUIKOSA KABISA NJOO SITE UKAGUE NYUMBA TUMALIZE BIASHARA