Nyumba ipo mbagala chamanz mfenesini
Jiji la dar es salaam wilaya ya temeke Jimbo la mbagala kata ya chamanz mtaa wa vigoa
Eneo square meter 200
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom
Ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme