Nyumba inauzwa ipo Mbagala Chamazi Nyumba ya vymba 4 vya kulala siting room daining room master bedroom public toilet kitchen Nyumba Umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati yake ya serikali ya mtaa Nyumba haipo mbali na barabara ya rami dakika chache tu kufika katika Nyumba Ina kisima cha maji bei ml 65