HII NYUMBA KALLI SANA IPO MBAGALA CHARAMBE KILOMETER 1.5 TU
UKIWA UNA TOKEA STEND KUU YA MWENDO KASI YA MBAGALA RANGI 3 LOUND ABOUT KUJA KWENYE HII NYUMBA NI KILOMETER 1.5 TU
NYUMBA NZURI SANA MWENYEWE KAVULUGWA SANA NA JANUARY ANA IYUZA BEI NZURI SANA TSH MIL 78 TU
NYUMBA NI YA KISASA KABISA INA VYUMBA VNNE VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM NA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET PAMOJA NA MAJI NA UMEME
ENEO SQUARE METER 450 INA FULL DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
NJOO UONE TUMALIZE BIASHARA FASTER MDAU WANGU NYUMBA KALLI SANA IYO