TZS 55,000,000
/mo
400
Kisemvule, Mkuranga, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

Hii ipo kisemvule ipo bara barani kabisa
Pale pale stend ya dala dala za kaliakoo nk
Nyumba vitatu vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme eneo square meter 400
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp
Milion 55 tu

Overview

Sale Price TZS 55,000,000
Size 400
Property Lot Size 400
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now