TZS 68,000,000
/mo
400
Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania

Hii nyumba ina hati miliki ya wizara
Ina uzwa bei raisi sana tsh million 68 tu
Ipo mbagala maji matitu stend jilani na kanisani la bcc
Nyumba kubwa sana ina square meter 400
Ina document ya widhara ya Ardhi
Vyumba vinne vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store
Ina pablic toylet Ina maji na umeme eneo zuri sana ipo jilani kabisa na bara bara
Kama nyumba ya 5 tu kutoka bara bara kuu ya Rami
Una takiwa uje kuiyona mdau wangu nyumba nzuri sana ime jengwa vzuri sana

Overview

Sale Price TZS 68,000,000
Size 400
Property Lot Size 400
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now