Nyumba inauzwa ipo mbande kisewe Nyumba ya vyumba 12 na feremu chumba 4 Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati yake ya serekali ya mtaa ukubwa WA kiwanja sqm 400 Nyumba Ina kisima cha maji Nyumba Ina wapagaji yote na kila mpagaji analipa laki moja kwa mwezi alafu Nyumba mpya Nyumba aipo mbali na Barbara ya rami kama dk chache kufika k Nyumba nyumba mpya Nyumba bei ml 80