Nyumba inauzwa Milion 65 ipo Mbagala Saku Mzambalauni jiji la Dar es salaam Wilaya ya Temeke
Eneo square meter 700
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vitano vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme eneo square meter