Nyumba kali sana inauzwa milioni 110 maongezi yapo nyumba ipo Mbezi maramba mawili ina vyumba 4 vyote masta sebule diningi jiko public toilet ukubwa Wa kiwanja SQM 900 nyumba ina hati miliki nyumba ina mageti mawili Juu nachini maji dawasa kutoka lami kilomita moja na nusu karibuni sana gharama za kupeleka saiti 30