Nyumba inauzwa nyumba ipo Mbezi Center
Nyumba ni ya vyumba 8 ipo kwenye mfumo wa biashara
Wapangaji wanalipa chumba elfu 50
Bei mil 50 maongezi yapo
Kiwanja kimepimwa na bicon tayali zipo
Ukubwa wa kiwanja miter 27 x 25
Hapa ni pazuli kwa kujenga apartment ipo umbali wa miter 200 tu toka barabara ya lami